TAFSIRI YA MPANGILIO WA KUFUATILIA

Getting ready

 The CommunityFirst COVID-19 Roadmap is a planning tool to support communities to organize, prepare and sustain their responses to COVID-19.

Learn to use the Roadmap 

  • Follow the steps in the Roadmap to create a plan for your community
  • Download the Action Plan and use it as:
    • an outline to develop your plan
    • a checklist to track your progress 
  • Add or remove steps as relevant to your community 
  • Review the resources in every step to see  infographics, guides and community action examples
  • Use the Resource Database to search for additional materials 

Review customized CommunityFirst COVID-19 plans and adapted Roadmaps 


Appoint a CommunityFirst COVID-19 Committee

  • Establish the priorities of the committee and agree on the roles of its members
  • Designate individuals (or sub-committees) responsible for the following areas: 
    • Communications 
    • Coordination with health authorities and humanitarian actors 
    • High-risk and vulnerable groups 
    • Hygiene kits and PPE
    • Mental health
    • Vaccine awareness
  • Create a virtual group for the committee

Mpangilio

1. Tambua kiwango cha usambazaji wa ujumbe

  • Janga limetangazwa nchini mwako(lakini sio kwenye jamii uako) 
    • Angazia kimsingi Hatua 1 : PANGILIA
  • Janga limetangazwa kwenye mkoa/jamii jirani
    • Jukumika kwa haraka kupitia Hatua 1: PANGILIA
    • Angazia kwa Hatua 2: JIANDAE
  • Janga limetangazwa kwenye jamii yako
    • Jukumika kwa haraka kupitia Hatua 1 na ya 2 PANGILIA na JIANDAE
    • Angazia kwa Hatua 3:

2. Tambua shehemu na makundi yaliyo hatarini zaidi:

      • Tambua wale watu kwenye jamii yako ambao wamo hatarini Zaidi kupatwa na janga hili la Korona:
        • Wazee na watu wazima
        • Watu wenye kinga hafifu mwilini
          • Mfaano. Watu wanaougua kansa,kisukari na kadhalika
        • Watu wenye maradhi mazito 
          • Ugonjwa wa moyo
          • kisukari
          • Ugonjwa sugu wa mapafu
          • Ugonjwa wa kivuti 
          • Utapia mlo
          • Ugonjwa wa figo 
          • Ugonjwa wa kifua kikuu
      • Tambua pia makundi mengine yaliyomo hatarini mwa kuambukizwa
        • Wakaazi wa jadi
        • Manusura wa dhulma za kijinsia
        • Akina mama na wasichana
        • wahamiaji
        • Walemavu 
        • Walikosa makao 
        • Wanaoishi na virusi vya ukimwi
        • Wanaotumia mihadarati
        • Wafungwa  
        • LGBT

3. Ungana na wahudumu wa afya na washikadau wengine

  • Fahamu uwezo wa vituo vya afya vilivyoko maeneo yenu.
  • Fahamu mashirika mengineo ya kibinadamau na msaada wanaopatia jamii
  • Fahamu uwezo wa serikali kuu pamoja na serikali ya kaunti katika juhudi za kupambana na Korona-s19
  • Anza kutambua sehemu zilizo na mapengo 

4. Kinga jamii yako

  • Zuwia safari za kuingia na kutoka kwenye sehemu ya jamii yako
  • Watu wote wanaoingia kwenye jamii wapimwe dhidi ya Korona -19 na wafuatiliwe
  • Teua watu mahususi watakao safari nje ya kaunti kuleta bidhaa muhimu

5. Wasilisha ujumbe muhimu

  • Hamasiha jamii kuhusu dalili, kinga na afya bora
  • Fafanua kuhusu ujumbe potovu, unyanyapaa na fununu
  • Tumia mapicha, redio na mtandao wakijamii ili kupitisha ujumbe 
  • Sisitiza ujumbe kwa makundi yaliyo hatarini Zaidi kwenye jamii
  • Fanya kazi na watu au makundi yanayosikizwa kwenye jamii 
  • Pitisha ujumbe kwa lugha inayofahamika Zaidi kwenye jamii

6. Toa msaada wa vyakula na bidhaa nyengine muhimu

  • Saidia maduka kwenye jamii ili yabakie wazi kwa sababu ya bidhaa muhimu kwenye jamii 
  • Panga na uorodheshe na kuwasilisha vyakula kwa wanajamii walioko kwenye hatari ya kuathirika. 
  • Tambua bidhaa muhimu zinazohitajika kwenye jamii. Weka kwenye mitandao ya kijamii na sehemu tofauti.

7. Gawanya maji na vifaa vya usafi

  • Ensure water security for the community. 
  • Hakikisha kuna upatikanaji wa maji safi kwenye jamii
  • Encourage frequent hand-washing. 
  • Sisitiza uoshaji mikono mara kwa mara
  • Increase access to hand-washing stations and hand sanitizer, if possible.
  • Ongeza sehemu za uoshaji mikono na sabuni iwapo kuna uwezekano 
  • Maintain waste management systems. 
  • Zingatia hali ya misingi ya usafi kwenye jamii.

Jiandae

1. Pitia mikakati iliyowekwa na wizara ya afya na washikadau wengine

  • Endelea kuzungumza na wahudumu wa afya na mashirika mengine ya kibinadamu ili kuweza kuziba myanya iliyoko kwenye jamii kuhusiana na mahitaji
  • Hakikisha uko na ufahamu wa usasa kutoka kwa wizara ya afya nchini na ya kaunti kuhusu Korona -19
  • Tambua myanya mipya inayojitokeza

2. Pata vazi la kujikinga binafsi (PPE)

Hakikisha wahudumu wote walioko msitari wa mbele kuhudumia jamii wamepata vazi la kujikinga (PPE)


3. Saidia makundi yote yaliyoko kwenye hatari ya maambukizi kwenye jamii

  • Wapatie vyakula na bidhaa nyengine muhimu za matumizi 
  • Wasaidie pia na nyongeza ya vifaa vya kiuchumi 
  • Wasaidie pia na miundo misingi bora ya afya
  • Hakikisha wale wote wanaoishi na magonjwa sugu wamepata huduma za kiafya na matibabu kwa urahisi

4. Ingiliana na Maisha ya wanajimii

  • Ingiliana na sehemu za kazi ili kuwakinga wafanyikazi
  • Ingiliana na sehemu za jamii
  • Fuatilia harusi, mazishi, sehemu za maombi na mihadhara tofauti tofauti kuzingatia na kuheshimu maagizo ya kiafya
  • Saidia mihadhara niayozingatia kanuni za kiafya

5. Ajiri wafanyikazi wa kiafya kuhudumia mambo ya Korona-19

  • Tambua wahudumu wa afya kwenye jamii wanaohudumia mambo ya Korona-19
  • Zingatia kuwapa mafunzo wahudumu wa afya wa jamii ili:( ukizingatia mpangilio)
    • waweze kutambua visa vya Korona-19
    • waweze kufuatilia kujikinga na kuzuwia maambukizi na kuzingatia hatua
    • Waweze kufuatilia waliohusiana na waathiriwa
    • kupatiana usaidizi wa kisaikolojia
  • Inapowezekana, patiana mafunzo klwa wahudumu wa afya walioko kwenye jamii kupitia utandawazi
  • Iwapo itabidi uwape mafunzo ya ana kwa ana basi vifaaa vya kujikinga kutokana na korona-19 vitumike PPE (vikiwemo barakoa, vitunza macho na gilovu)

6. Andaa wanajamii kwa kuwapa maarifa.

  • Hakikisha wanajamii wanatambua wakati watakapohitajika kutembelea vituo vya afya
  • Sisitiza wanajamii kuvaa barakoa walizotengeneza kwenye jamii iwapo watahudhuria sehemu zenye uma ama iwapo mtu ni mgonjwa au anakohoa
    • Wanafamilia ambao watakuwa tayari wameshaambukizwa wavae barakoa za N95 iwapo zitapatikana
  • Hakikisha kuna uwepo wa vifaa vya matumizi vya waliotengwa kwa kila Nyumba (kwa mfaano, Vipima joto, vifaa vya usafi na kadhalika)
  • Wafundishe wana jamii mbinu za kujitubu na kupata afueni wawapo pale nyumbani(kama vile, kufungua madirisha na kadhalika)
  • Wasaidie wazazi na wale wanaopeana huduma kwa waathiriwa.

7. Tayarisha mahali pa watakeotengwa/Karantini

  • Tambua na upitishe mahali salama na penye nafasi kwenye jamii kwa minajili ya kuwaweka walioathirika
    • mashule
    • mahoteli
    • Makanisa
  • Zingatia kuweka mikakati ya kukinga kwa wale walio na uwezo mkubwa wa kuathirika

8. Hamasisha jamii yako

  • Linganisha mahitaji ya wanajamii katika jamii yako
  • Tambua sehemu kwenye jamii zitakazo tumika kwa mipango ya ugawanyaji wa vifaa na misaada
  • Tumia mbinu ya kutafuta kwa makundi ili kupata misaada zaidi
  • Tumia makundi ya kwenye mitandao ya kijamii na simu kwa minajili ya kurutubisha uwiano

Changamkia

1. Fuatilia wizara ya afia na mashirika mengine

  • Hakikisha matibabu yanayohusu krona na yasiyohusu korona yanapatikana. 
  • Endelea kuwasiliana na wizara ya afia na mashirika ya kibinadamu kuhakikisha kwamba mapengo yote kwenye jamii yamezibwa.
  • Kuwa na habari za usasa toka kwa serikali kuu na hata wizara ya afya ya mkoani kuhusu korona
  • Tafuta sehemu mpya zenye mapengo

2. Tambua visa vya Korona 19

  • Tengeneza makundi kwenye mtandano
  • Wafunze wana afya wa jamii kuhusu kupima korona 19
  • Waelekeze wanajamii waliopatikana na Korona kwends kwenye vituo vya afya kwa uangalizi zaidi
  • Hakikisha kuna mapimo ya antijeni kwa wafanyikazi au wahudumu wa afya walio mbele kwa huduma
  • If validated/quality antibody test kits are available, develop a strategy for their implementation. 
  • Iwapo zitapitishwa/hali ya juu ya antibody kama zitapatikana, tengeneza mbinu kamili ya matumizi.

3. Tenganisha wsshukiwa wa Korona 19.

  • Tenganisha washukiwa wa Korona iwapo ni nyumbani au hata kwa zahanati zilizotengwa kwa minajili hiyo
  • Wapatie misaada wale waliotengwa kwa ajili ya Korona

4. Wasaidie wale waliopatwa na kiwewe au shida za kiakili kutokana na Korona19

  • Endelea kupatiana maelezo na mafunzo kwa wanajamii kuhusu jinsi ya kuwasaidia waliokumbwa na kiwewe na ugonjwa wa akili
  • Hakikisha wanajamii wanaweza kupata msaada wa maelezo kutoka kwa mtandao

5. Fuatilia wale waliokuwa na muingiliano ama mgusano na waathiriwa

  • Advise all contacts of each case (suspected* or confirmed) to self-isolate  and/or quarantine, as advised by local public health authorities.
  • Washauri wale wote walikuwa na mgusano ama muingiliano na waathiriwa wa Korona ili kwamba waweze kujiweka karantini wenyewe kama inavyohitajiwa na wizara ya afya. 

6. Dumisha hatua za muingiliano

  • Hakikisha umefuatilia sharia za kuwa mbali na mwenzio uwapo kwenye hadhira
  • Wasisitize wanajamii kuendelea kujifunza kufuatilia kudumisha umbali na wenziwao wawapo kwenye hadhira kila inapowezekana
  • Wahimize wavae barakoa wakiwa kwenye sehemu zisizo wazi (kwenye maduka) sehemu wasizoweza kkudumisha umbali

7. Upatikanaji wa matibabu ya kimtandao

  • Wapatie wanajamii usaidizi wa ushauri wa kiakili
  • Wasaidie wanajamii na msaada wa kliniki kwa wale (walioathirika na Korona na hata wale wasioathirika)
  • Wasaidie wanajamii na shehemu ya kuoshea mikono

Endeleza

1. Hakikisha kuna maendelezo ya zile sharia muhimu za kupambana na korona

  • Upimaji na kutafuta walioathirka
  • Kutafuta wale waliokuwa na muingiliano na wale walioathirika
  • Kuwatenganisha wale waliokutwa na korona na kuwapa matibabu yanayofaa
  • Uvaaji wa barakoa na pia kudumisha umbali wa muingiliano iwapo ni kwenye hadhira

2. Kupangiliana na wizara ya afya na washikadau wengine Kuelewa mipangilio ya wizara ya afya ya wanajamii

  • Kurudisha huduma za kliniki kwa wale wasioathirika ila sharia zikifuatwa

3. Wasilisha ujumbe muhimu

  • Tumia redio na mitandao ya kijamii kusisitiza ujumbe kuhusu kuingiliana na kukubaliana hali ya Maisha ya kujitenga
  • Use infographics to communicate key messages in clear, simple language adapted to local context
  • Tumia michoro ya mapicha kupitisha ujumbe muhimu kwa kutumia lugha ya jamii ili kueleweka vyema
  • Wasilishanujumbe pia kwa wale walioko kwenye hatari Zaidi ya kukumbwa na ugonjwa huu
  • Badilisha ujumbe wa korona kwa lugha ya jamii ili kueleweka kwa haraka.

4. Endelea kuwakinga wale walioko kwenye athari ya maambukizi zaidi

  • Elezea kuhusu hatari iliyopo
  • Ongeza idadi ya mapimo kwa makundi
  • Patiana msaada ushauri
  • Hakikisha wagonjwa wenye magonjwa sugu pia wamepata matibabu kwa urahisi.(kwa mfaano wale wenye kisukari ma kadhalika)

5. Hakikisha umejitunza mwenyewe

  • Epuka sehemu za majengo zilizofungika fungika.
  • Encourage face covering (like masks, bandanas)  in public places, especially in enclosed spaces and where physical distancing is not possible
  • Hakikisha umefunika uso (kwakutumia barakoa) uwapo kwenye hadhira hususan kwenye sehemu zilizo ndani ya majengo ama sehemu usizoweza kudumisha hatua na mwenzio
  • Dumisha uoshaji wa mikono mara kwa mara
  • Zingatia shuhuli zisizo na hatari ya maambukizi
  • Hakikisha umedumisha hatua kutoka kwa mwenzio uwapo kwenye hadhira
  • Hakikihsa umeilinda afya yako kimwili na kiakili

6. Ongezea Zaidi mikakati kuwakinga wanajamii

  • Chunguza iwapo jamii yako inaweza kufunguliwa ruhusa ya kusafiri kuingiliana na jamii nyengine
  • Angazia suala la kuwaweka karantini wasafiri wanaokuja toka kwa jamii nyengine au labda kuwapima dhidi ya Korona 19

7. Tengeneza Zaidi hali ya Maisha ya wanajamii

  • Badilisha sharia za sehemu za kazi ili kuwalinda waajiriwa
  • Badilisha sharia za sehemu za mikusanyiko na hadhira
  • Unga mkono uandamanaji unaofuata sharia na kanuni za korona

8. Unga mkono afya njema ya kiakili

  • Endelea kuwapa wanajamii elimu bna maarifa kuhusu ushauri wa afya njema na mda wa karantini
  • Wapatie msaada ushauri kwa makundi yaliyo kwenye hatari ya maambukizi
  • Wapatie ushauri wa kiafya na wa akili kwa wale walioathirika na korona na hata wale waliopona kutokana na ugonjwa huo